Tangazo

May 25, 2012

KAMPENI YA KILIMANJARO PREMIUM LAGER 100% TZ FLAVA YAZINDULIWA KWA KISHINDO - NYUMBANI LOUNGE


Wasanii wa Kundi la THT wakilishambulia jukwaa.

Wasanii wa luninga, wanamuziki na Wasukuma kabumbu wakiwa katika uzinduzi 100% TZ Flava.

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akiwa na Wasanii wa luninga, wanamuziki na Wasukuma kabumbu wakiwa katika uzinduzi 100% TZ Flava.

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Simba, Salum Machaku na Yanga Shaban Kado ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni ya Kilimanjaro Premium Lager 100% TZ Flava iliyozinduliwa katika kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge Namanga jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na wanamuziki Janet Isinike na Profesa Jay ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni ya Kilimanjaro Premium Lager 100% TZ Flava iliyozinduliwa katika kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge Namanga jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na wacheza filamu JB na Aunt Ezekiel ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni ya Kilimanjaro Premium Lager 100% TZ Flava iliyozinduliwa katika kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge Namanga jijini Dar es Salaam.

Mdau kutoka kampuni ya Executive Solutions Ltd, Ibrahim Kyaruzi akiwa katika picha pamoja na Wasanii wa Luninga. wa pili kushoto ni Aunt Ezekiel.

Nami Mzee wa Mitikasi sikucheza mbali na wasanii hao. Wa tatu kushoto ni Mahmoud Zubery wa Bin Zubery Blog.

Hartman Mbilinyi (kushoto) na JB.

No comments: