Tangazo

October 14, 2013

Mbunge Mtemvu aiteka Yombo Vituka

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akishangiliwa na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alipokuwa akienda jukwaani kuhutubia kuelezea utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Kata ya Yombo Vituka, Dar es Salaam juzi.
 Mtemvu akipanda jukwaani huku akisindikizwa na wanachama eneo la Lumo, Yombo Vituka
 Mtemvu akihutubia
 Msanii wa Kikundi cha Sanaa cha Machozi, Mwajuma Seleman akionesha umahiri wake wa kucheza sarakasi.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Wasanii wa kikundi cha sarakasi cha Machozi, Neema Maganga na Kassim Ali wakifanya mambo wakati wa mkutano huo
 Diwani wa Kata ya Yombo Vituka, Kapteni Kenedy Makinda akihutubia na kuelezea mafanikio ya miradi mbalimbali ikiwemo ya miundo mbinu katika kata hiyo.
 Wafuasi wa CCM wakicheza kwa furaha wakat wa mkutano huo
 Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Temeke, Masungu Mkalimtu akihutubia katika mkutano huo
 Katibu Mwenezi, Masungu Mkalimtu  akikabidhi kadi ya uanachama kwa mwanachama mpya Abdalah Kazimali
 Wanachama wapya wakila kiapo cha CCM cha utii
Mtemvu (katikati) akila kiapo cha utii cha CCM pamoja na viongozi wengine wa CCM katika mkutano huo

No comments: