Tangazo

October 15, 2013

Sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Nyerere


Rais Kikwete akiwa na Mwenge wa Uhuru katika picha ya pamoja na mashujaa walioukimbiza nchi nzima.


Rais Kikwete akiwa na wabunge wa Chadema, Mhe Chiku Abwao na Mchungaji Peter Msigwa katika sherehe hizo.

Rais Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru toka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013, Bw. Juma Ali Simai.

Rais Kikwete akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru baada ya kukabidhiwa rasmi.

No comments: