Tangazo

October 10, 2013

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI..WANATAFUTWA WAPISHI WAWILI

Wanatafutwa wapishi (chef) wawili kufanya kazi kwenye nyumba binafsi hapa Hapa Dar Es Salaam
Ambao wanahisi wanaweza na wana uwezo wa kufanya kazi watume cv zao kwenye e-mail hapo chini
cvyangu2013@gmail.com

No comments: