August 1, 2011
Maisha Upande wa Pili wa Sarafu
www.ladyjaydee.blogspot.com
Hii sio sinema wala picha za kuungwa, ni maisha ya kweli ya watanzania wengi waishio mikoani. Watoto hawa walinaswa na kamera yetu wakifanya kazi ya uchotaji maji kwa kutumia baiskeli huko Katumba-Mpanda.
Mtoto ameelemewa anaamua kuikokota baiskeli baada ya kachoka.PICHA ZAIDI:
www.ladyjaydee.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment