![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjXivFlFAUU_cwwslYgOyNvOL4W1JScyoILf6sGt5s3a71l5TXOAYW-eGEb2tuwRSBEWGKjmMtHcApd3r5vPQljnlBMMBGTKjkBHJofWk71NWnfs8Z5HQ_G-HXwXIfslKDkudnqM40N9-A/s640/Rais+Jakaya+Mrisho+Kikwete.JPG) |
Rais, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete |
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA, DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO IJUMAA SEPTEMBA 30, 2011 ATALIHUTUBIA TAIFA IKIWA NI KATIKA UTARATIBU WAKE WA KULIHUTUBIA TAIFA KILA MWEZI.
IMETOLEWA NA:
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU
DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment