September 23, 2011
TASWIRA YETU LEO
Msanii Thomas Amko wa Shirati wilayani Rorya akipuliza kibuyu (zumati) katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye uwanja wa michezo wa Shirati jana Septemba 22,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment