October 31, 2011
WADAU PLASDUCE NA HAIKA WAMEREMETA
Mdau Plasduce Mbosa juzi Jumamosi alijikuta akiagana na timu ya makapera baada ya kufunga ndoa na Bi. Haika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph na kufuatiwa na tafrija ya kukata na 'Mundu' iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment