November 7, 2011
YOTE MAISHA TUUU...
Mchuuzi wa ndizi akiambaa ambaa kando kando ya barabara ya Nyerere akisaka wateja wa ndizi kama alivyonaswa na kamera yetu jijiji Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
PICHA/DAILY MITIKASI BLOGU
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment