![]() |
| Geneza la mwili wa marehemu Rachel Mwiligwa likiwa kanisani leo wakati wa ibada ya mazishi. |
| Mkurugenzi Mtendaji wa New Habari Corporation, Hussein Bashe akitoa heshima za mwisho. |
| Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akitoa heshima za mwisho. Kulia ni Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan. |
| Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya wanamuziki wa bendi yake katika ibada ya kuaga mwili Rachel. |
![]() |
| Mhariri wa gazeti la Bingwa, Grace Hoka akilia kwa uchungu. |
| Jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Mhariri wa Michezo wa Gazeti la Mtanzania, Rachel Mwiligwa ukishushwa katika Kanisa la Anglikana Ubungo Dar es Salaam leo kwa ajili ya ibada. |


No comments:
Post a Comment