Maofisa wa TBL, wakifurahia jambo na Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (kushoto).
|
| Wadau. |
| Kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge kilisheheni. |
| THT kazini hakuna kulala. |
| Maofisa wa TBL wakishow love. |
| Duuuu...! Hartman Mbilinyi kwa bites sikuwezi. Kushoto kwake ni Aunt Ezekiel. |
Machozi Band wakiongozwa na Jonico Flower (wa pili kulia) na Mao Santiago (wa pili kushoto).
|
| Kutoka kushoto: Phares Magesa Makamu wa Rais wa TBF, DJ Venture na Steve Nyerere 'Tajiri Mtoto'. |
| Wadau. |
| Mkurugenzi wa African Stars Intertainment Tanzania (ASET), Asha Baraka 'Iron Lady' akifurahia jambo na Mhariri Mkuu wa Blogu hii, John Badi. |
No comments:
Post a Comment