Waziri Mkuu Pinda atembelea Tume ya Warioba pia akutana na Rais wa STATOIL
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Kamati ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba na wajumbe wa Tume hiyo baada ya kutembelea Ofisi za Tume jijini Dar es salaam May 9, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri wa
Katiba na Sheria, Mathias Chikawe baada ya kutembelea Ofisi za Tume
Kamati ya Mabadiliko ya Katiba na kuzungumza na wajumbe wake, jijini
Dar es salaam May 9, 2012.Kulia niMwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph
Sinde Warioba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Kampuni ya Mafuta ya STATOIL na ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam May 9, 2012. (Picha na Ofisi ya WaziriMkuu)
No comments:
Post a Comment