![]() |
Vijana wakichangamka kurudisha kadi za Chadema mbele ya Nape na Kinana. |
![]() |
Vijana wakishangilia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam. |
![]() |
Maelfu ya watu wakiwa kwenye mkutano wa CCM, Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam. |
![]() |
Mlia nguo za CCM, wakiwa kwenye mkutano huo. |
![]() |
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nauye akihamasisha kwenye mkutano huo, Kushoto ni Mlezi wa mkoa wa Dar, Abdulrahman Kinana. |
![]() |
Wana-CCM wakiwa na bango lenye ujumbe maalum. |
![]() |
Moja ya mabango yenye ujumbe muhimu. |
![]() |
Bango la kumpongeza Rais Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa CCM Taifa. |
![]() |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira Uratibu na mahusiano, akizungumza kwenye mkutano huo. |
![]() |
Waziri wa Ardhi , Profesa Anna Tibaijuka akihutubia. |
![]() |
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia. |
![]() |
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akihutubia. |
![]() |
Waandishi wa habari wakiwa kazini kwenye mkutano huo. |
![]() |
Watangazaji wa TBC1 wakiwa live kwenye mkutano huo. |
![]() |
Mamia ya kadi za vyama vya upinzani zilizorudishwa. |
![]() |
Nape akicharaza gitaa na bendi ya Vijana Jazz. |
![]() |
Viongiozi wa CCM waliohudhuria mkutano huo. |
![]() |
Msanii Chege akitumbuiza. |
No comments:
Post a Comment