Dk.Shein ateta na Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo, kuhudhuria Mkutano Maalumu na Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. [Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu]
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa mkutano wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo. [Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar]
No comments:
Post a Comment