![]() |
Ally Choki akiwaburudisha washabiki na wapenzi wa Extra Bongo ndani ya Meeda Jumamosi usiku. |
![]() |
Choki akicheza show na wanenguaji wake wa Extra bongo ndani ya Meeda Sinza. |
![]() |
Rapa maarufu wa Extra Bongo, Kaba Tano akirap ndani ya Meeda Sinza. |
![]() |
Banza Stone Mwana wa Masanja - AKA Jenerale akiimba nyimbo yake ndani ya Meeda Sinza. |
No comments:
Post a Comment