Daily Mitikasi Blog

June 26, 2012

Mahakama Kuu yatoa Onyo kwa Madaktari

Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Kazi leo kimetoa onyo kwa Chama cha Madaktari Nchini (MAT), kuzingatia amri ya Mahakama hiyo iliyotolewa siku ya Ijumaa tarehe 22 Juni 2012 ya kusitisha na kutoshiriki katika mgomo na kumtaka Rais wa Chama cha Madaktari kutangaza kutii amri hiyo kupitia vyombo vya habari.

John Hans Badi kwa 5:28 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Dar es Salaam, Tanzania
View my complete profile
Powered by Blogger.