June 7, 2012
RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA CANADA
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo Juni 7, 2012 katika Ikulu ya Dar es salaam amekutana na kuagana na Bw Robert J. Orr, Balozi wa Canada nchini, anayemaliza muda wake wa uwakilishi. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment