| Ofisa Mnasihi wa VVU wa AMREF, Peace Kayoza (kushoto), akimchukua kipimo cha damu Zaina Mohamed, mmoja wa wanafamilia ya TBL katika bonanza hilo. |
| Wanafamilia wa TBL wakimuangalia mcheza sarakasi wa kikundi cha Black Texas, wakati akitembea juu ya waya. |
| Meneja Uhusiano wa TBL, Editha Mushi akijadiliana jambo na viongozi wenzake wakati wa bonanza hilo. |
| Watoto wa familia ya TBL wakiogelea. |
| Wafanyakazi wa TBL wakiwa wameshika zawadi za fulana. |
| Ofisa wa TBL Salvatory Rweimamu (kulia) akimkabidhi zawadi mtoto wa wanafamilia ya TBL aliyeshinda mbio. |


No comments:
Post a Comment