June 6, 2012

UZEMBE WA MADEREVA NA UTENDAJI KAZI MBOVU WA TAA ZA KUONGOZEA MAGARI CHANZO CHA AJALI-UHASIBU LEO ALFAJIRI



Ajali hii imetokea alfajiri ya leo kwenye makutano ya Barabara za Mandela Road na Kilwa Road ilihusisha malori mawili kwenye taa za kuongozea magari uhasibu ambapo mashuhuda walisema lori la kampuni ya Azam halipo pichani, lilishika breki ghafla katikati ya taa za kuongozea kupisha gari ndogo iliyokuwa ikitokea jitegemee kwenda sabasaba,dereva wa lori  alishindwa kulidhibiti wakati akijaribu kulikwepa lori la  Azam na kuishia kugonga nguzo ya Taa na kuanguka ,dereva alivunjika miguu yote miwili na kukimbizwa hospitalini.Habari Picha na Mdau Paul Marenga



No comments:

Post a Comment