| Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale, Ibrahim Marwa akihutubia kabla ya makabidhiano. |
| Sehemu ya viongozi wa vijiji lengwa na msaada huo waliohudhuria hafla hiyo. |
| Viongozi wa African Barrick Gold wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali baada ya makabidhiano. |
| Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, Dennis Hoof akijadiliana jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya. |
No comments:
Post a Comment