July 18, 2012
Breaking News: Meli ya Mv Seagull yazama
Meli ya Mv Seagull ikiwa na abiria zaidi ya 200 ikotokea Dar es Salaaam kwenda Zanzibar inasemekana kuwa imezama, Juhudi za uokoaji zinaendelea, na tayari watu kadhaa wameokolewa wakiwa hai, vifo bado havijaripotiwa. Tutawaletea taarifa zaidi
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment