| Baadhi ya Mabondia na Makocha wakisubiri kupima uzito kwa mabondia. |
| Bondia Fransic Cheka akipima uzito. |
| Mratibu wa mpambano huo, Kaike Siraju (katikati) akiwainua mikono juu mabondia Japhert Kaseba (kushoto) na Francis Cheka baada ya kumaliza kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao. |
| Bondia Francis Cheka akipima Afya. Picha na superdboxingcoach.blog |
No comments:
Post a Comment