![]() |
Polisi wakiwa katika mitaa ya mjini Morogoro wakati wakizuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). |
![]() |
Mkurugenzi wa Mafunzo wa CHADEMA, Benson Kigaila akionyesha alama ya V wakati akiwa chini ya ulinzi ndani ya gari la Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU).
|
![]() |
FFU wakiwa katika Doria. |
![]() |
Mwili wa aliyekuwa muuza magazeti katika eneo la Msamvu Morogoro, Ally Nzona ambaye alipigwa risasi ya kichwa na kufariki dunia wakati wa vurugu za Polisi na Chadema Morogoro. |
Askari wa Kikosi cha kuzuia fujo FFU wakitoa onyo kwa waandamanaji kutawanyika. |
![]() |
Sehemu ya umati wa watu Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege, Morogoro.
|
No comments:
Post a Comment