![]() |
| Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makaburini. |
![]() |
| Ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko. |
![]() |
| Mwili wa Mwangosi ukishushwa katika nyumba yake ya milele. |
![]() |
| Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa tayari katika Kaburi. |
![]() |
| Shughuri za kuzika zimeanza. |
![]() |
| Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la maua kwa uchungu. |
![]() |
| Mke wa Daudi Mwangosi akilia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe. |
![]() |
| Watoto wa Marehemu wakiweka mashada ya maua sasa. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa akiweka Shada la maua. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho baada ya kuweka shada la maua. |
![]() |
| Profesa Mark Mwandosya na mkewe wakiweka shada la maua. |
![]() |
| Rais wa UTPC, Bw. Simbaya akiweka shada la maua. PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG |












No comments:
Post a Comment