
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akizungumza wakati wakati wa uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Rajabu akitoa neno la shukrani baada ya Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kushoto) kuzindua bodi hiyo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ramadhani Dau.
Baadhi ya wajumbe wa bodi.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu NSSF, Ramadhani Dau baada kuzindua bodi hiyo.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kulia) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa bodi ya NSSF, Abubakar Rajabu (katikati), na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori.
No comments:
Post a Comment