Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitundika mzinga wa nyuki ili kuhamasisha ugaji nyuki na
usindikaji wa asali nchini, wakati alipokwenda kwemye kijiji cha Agondi
wilayani Manyoni, Machi 4, 2013. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment