May 10, 2013

Ibada ya Mazishi ya Waumini waliofariki kwa Shambulio la Bomu Arusha

Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza  lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013. (Picha na ofisi ya Wziri Mkuu)



Mapadri wakiwa wamebeba mislaba yenye majina ya marehemu wawili kati ya watatu waliofariki kwenye tukio la bomu la kurushwa kwa mkono kwenye kanaisa la Olasiti jijini Arusha May 5, 2013, katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye  kanisa hilo may 10,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Kiongozi wa kanisa Katoliki nchini, Mhashamu Polycarp kaldinari Pengo akiongoza ibada ya mazishi ya waumini wa kanisa hilo waliouwawa katika bomu lililotupwa kwenye kanisa la Olasiti Arusha May 5,2-13. Kuhoto ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment