Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Charles Kenyela kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi. |
No comments:
Post a Comment