May 10, 2013

Mwanamuziki Che Mundugwao aishutumu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo kwa Upendeleo

MIMI NASHANGAA SANA JUU YA SERIKALI PALE BIFU ZINAPOKOTEZEA KWA RUGE BASI HUINGILIA KATI KUTAFUTA SULUU KWA KWELI KUNAACHA MASWALI MENGI.

KWA MTAZAMO WA KIUNGWANA NI JAMBAO JEMA SANA WALAKINI YANGU KWA  NINI IWE KWA RUGE TU, AWALI WAZIRI NCHIMBI AKIWA NAIBU WA WIZARA YETU YA HABARI UTAMADUNI, VIJANA NA MICHEZO  ALIINGILIA KATI JAMBO LA RUGE NA MBILINYI (SUGU) NA SASA TUNASIKIA RUGE NA LADY J DEE SERIKALI IMEINGILIA KATI.

MAONI WENGI MBONA KUMBUKA ASHA BARAKA WA TWANGA PEPETA NA MAMAA WA MASHUJAA HATA  TAFF NA BONGO MOVIE, VIKUNDI VYA TAARABU NI BAADHI TU LAKINI WENGI WAPO WALIKUWA KWENYE MVUTANO MKALI LAKINI SERIKALI IKIWA KIMYA.

USHAURI WANGU HATUA HIYO NZURI SANA KULETA AMANI KWA WASANII LAKINI IWE KWA WOTE BILA KUBAGUA WATATUE INAPOTEA MIGOGORO HATA YA KIMASLAI PIA KUONDOA DHANA KUWA RUGE ANAPENDELEWA NA SERIKALI MADHALA YAKE KWA
HISIA HIZO NI KUBWA SANA, KUSIPO ZIBA UFA KUTAJENGA UKUTA TUCHUKUE HATUA SASA, MAANA SISI NDIO TUPO KARIBU NA WASANII MUDA MWINGI.

TUNAWAMBUSHA SERIKALI JUU YA UMUHIMU KUTOA HUDUMA SAWA KWA WOTE BILA KUJALI UMAARUFU WA MSANII KWA KUANZISHA DAWATI LA  HUDUMA KWA WASANII ITASAIDIA SANA



MIMI

CHE MUNDUGWAO

MWENYEKITI- CHAMA CHA MUZIKI ASILI TANZANIA NA
MJUMBE WA BODI SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA
MKURUGENZI WA USHIRIKIANO- SHIRIKISHO LA MU

No comments:

Post a Comment