Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa Pole Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Francisco Montecillo , May 7,2013, baada ya kutembelea Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako May 6,2013 ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi. Kushoto ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment