| Mama Mzazi wa Suzana Mungy bibi Agnesi Julian Lukindo(75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo. | 
| 
Bibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini  pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo.  | 
| Wakwe wa Marehemu Mzee Julian Lukindo wakiwa wana jianda kushusha jeneza ndani ya kaburi aliye vaa miwani ni Bw Inocent Mungy kulia kwake ni Bw Juma Ndambile Mume wa Isabela. | 
| Picha ya Marehemu Mzee Julian Kibindo Lukindo. PICHA NA CHRIS MFINANGA | 
 
 
 
No comments:
Post a Comment