| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisindikizwa na  Spika wa Bunge, Anne Mkinda (kulia) na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovic Utouh  baada ya kufungua Mkutano wa Mwaka   wa  Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali   kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Arusha AICC Septemba 2, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) | 
No comments:
Post a Comment