Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (lkushoto) wakifurahia jambo katika mazungumzo kati yao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya (wa pili kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) mjini Dodoma Novemba 10, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu |
No comments:
Post a Comment