Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi  (kulia) akimkabidhi  Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, ambaye pia ni Kamshina wa Ustawi wa Jamii, Danford Makala (kushoto)  kitabu cha  Orodha ya Dawa muhimu na matibabu  katika hafla iliyofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa  mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius  Nyerere jijini Dares Salaam.Picha na Magreth Kinabo –Maelezo. 
 | 
No comments:
Post a Comment