December 6, 2013
BREAKING NEWS... NELSON MANDELA AFARIKI DUNIA
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela Madiba (95), amefariki dunia muda mfupi uliopita. Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma ameutangazia umma na dunia punde.
Afrika imepoteza moja wa viongozi shupavu waliowahi kutokea barani. RIP Mandela!
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment