MAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAFANYABIASHARA WA BIMA BARANI AFRIKA.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa
Bim Barani Afrika, uliofanyika Mei 28, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati
akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Naibu
Waziri wa Fedha, Adam Malima, akizungumza katika mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia burudani ya ngoma ya asili ya Pemba wakati akiondoka kwenye Hoteli
ya Hyatt Kilimanjaro baada ya kufungua rasmi Mkutano mkuu wa mwaka wa
Wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam
Malima. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment