Tangazo

June 10, 2014

Kinana ateta na Balozi wa Uingereza hapa nchini

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, katika ukumbi uliopo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, June 9, 2014. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments: