June 11, 2014

KUTOKA BUNGENI LEO

Mbunge wa Mwibara Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva    wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza Mjijini, Ezekiel Wenje , bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment