Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Waislamu mbali mbali na Viongozi
katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara
Suleiman Mjini Zanzibar leo asubuhi katika kusherehekeka mfunguo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] |
No comments:
Post a Comment