Waziri wa Mambo ya 
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, 
Bernard Kamilius Membe, 
akizungumza jambo na Waziri Mkuu 
Mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, 
huku waziri Mkuu Mstaafu, Frederick 
Sumaye (kulia) akifuatilia 
mazungumzo hayo kwa pembeni, 
wakati wakiwa kwenye hafla ya 
Baraza la Idd El Fitr, leo, Julai 29, 
2014, kwenye Viwanja vya 
Kariamjee, Jijini Dar es 
Salaam.
 Mgeni rasmi kwenye 
Baraza la Eid ElFitr, Waziri Mkuu 
Mizengo Pinda, akiingia kwenye 
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es 
Salaam, akisindikizwa na  
Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, 
Alhad Mussa 
Kassim.
 Pinda akimsalimia 
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi 
baada ya kuwasili 
ukumbini
 Waziri Mkuu Mizengo 
Pinda akimsalimia Mufti wa 
Tanzania, Sheikh Mkuu, Shaaban 
Issa Simba baada ya kuwasili 
ukumbini.
 Pinda akimtazama 
kwa furaha wakati Mwinyi akizindua 
kitabu kwa furaha ambacho 
kimeandikwa na Sheikh Mkuu, 
Shaaba Issa Simba, kitabu hicho 
chenye jina la Al Muhtaswar ni 
makusanyo mbalimbali ambayo 
sheikh Mkuu huyo ameyakusanya na 
kisha kutengeneza kitambu kwa ajili 
ya kukisambaza nchini kote kusaidia 
waislam kuzingatia vyema dini hiyo. 
Pamoja na wadau kadhaa, Waziri wa 
Mambo ya Nje Bernard Membe 
amechangia kuwezesha uchapishaji 
wa kitabu 
hicho.
 Membe, Dk. Salim 
na Sumaye wakisoma kitabu cha 
Sheikh Mkuu Shaaban Issa 
Simba
 Kinamama kwenye 
Baraza hilo la Eid 
ElFitr
 Mwanazuoni akighani 
kaswida maalum kwenye Baraza hilo 
la Idd 
![]()  | |
| Wanazuoni wakitumbuiza kaswida kwenye Baraza la Idd | 
 Ustaadhi Mroki Mroki 
wa Habari leo akifuatilia kwa makini 
shughuli za hafla hiyo ya Baraza la 
Eid
 Baadhi ya Wasanii 
maafurufu wa Bongo Movie akiwemo 
Steve Nyerere  nao 
walihudhuria Baraza 
hilo
















No comments:
Post a Comment