Amiri Jeshi Mkuu Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya
Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo. Wengine toka kushoto ni
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Maalim Seif Shariff Hamad, Jaji Mkuu
wa Tanzania, Mhe Mohamed Chande
Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe omar Othman makungu leo Julai
25, 2014.
|
No comments:
Post a Comment