Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
July 7, 2014
Rais Kikwete atembelea banda la TTCL katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
No comments:
Post a Comment