Rais Jakata Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na Ujumbe Maalum Kutoka Sheria Ngowi Brand, Ukiongozwa na Mbunifu
wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi (wa pili kushoto), Makamu wa Rais
wa Sheria Ngowi Brand, Haki Ngowi (wa pili kulia), Mkuu wa Kitendo cha
Biashara na Matangazo, Deo Kessy (kushoto) na Kiongozi wa Idara ya Habari
kutoka Sheria Ngowi Brand, Atunza Nkrulu (kulia). PICHA /FREDDY MARO - IKULU
|
No comments:
Post a Comment