Hayawihayawiyamekuwa: Bwana harusi Renatus Malulu akimvisha pete
ya ndoa mkewe Imeresiana Charles wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofanyika katika
kanisa katoliki la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es
Salaam, na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi
center.
Wakiwa na nyuso za furaha bwana harusi Renatus Malulu na mkewe
Imeresiana Charles wakiwa kwenye pozi la picha baada ya kufunga pingu za maisha
katika kanisa la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es
Salaam, nakufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi
center.
RenetusMalulu na Imeresiana
Charles wakinyweshana shampeni wakati wa sherehe yao ya ndoa.
Maharusi wakiwa katika
picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa.
No comments:
Post a Comment