October 6, 2014
Dk. Faustine Ndugulile afungua kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya - Mji Mwema Kigamboni
Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile (wa pili kulia),
akifungua rasmi
kiota kipya Mji Mwema Kigamboni kinachoitwa
Fursat Dhahabiyya
.
Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya kilichopo Mji Mwema Kigamboni
Mwonekano wa ndani wa Kiota hicho.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment