NAMANGA SPORTS CLUB YAUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA SHANGWE
Mwakilishi wa Klabu ya Biafra
Sports, akitoa nasaha zake wakati wa tafrija ya mkesha kuuaga mwaka 2014 na
kuukaribisha Mwaka 2015, iliyoandaliwa na Klabu ya Namanga Sports katika eneo
la Namanga jijini Dar es Salaam Desemba 31. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu
ya Namanga Sports, Olestick Lembo. PICHA ZOTE/JOHN BADI
Baadhi ya viongozi wa Klabu ya
Biafra Sports na Klabu ya Namanga Sports, wakitosti kama ishara ya kuukaribisha
mwaka mpya.
Mlezi wa Namanga Sports Club, Mzee
Juma (katikati), akisoma dua la kuukaribisha mwaka mpya. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa
Klabu ya Namanga Sports, Olestick Lembo na Mwenyekiti wa Biafra Sports, Bwana
Mollel.
No comments:
Post a Comment