Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia), Waziri wa Ujenzi, Dkt.
John Magufuli na baadhi ya Viongozi, wakati alipowasili Kitongoji cha Mnazi
Mmoja, Msoga jana kwa ajili ya kuwafariji wananchi waliokubwa na maafa kwa
kuangukiwa na nyumba zao kutokana na Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali
iliyonyesha juzi. Katika tukio hilo jumla ya watu 12 walijeruhiwa na jumla ya
nyumba 128 kubomoka. Picha na OMR
|
No comments:
Post a Comment