Rais Kikwete afariji waliopatwa na maafa ya Mvua ya Mawe, Kahama
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya
Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa
wa Shinyanga, Machi 12.2015.
Maelefu
ya Wakazi wa Kahama wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa
akiwahutubia mara baada ya kutembelea na kujionea athari ya Mvua ya Mawe kwa
wananchi wa Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Machi 12.2015.
PICHA/IKULU
No comments:
Post a Comment