![]() |
Mkurugenzi wa Vision Investments, Ally Nchahaga (mwenye
tisheti nyeupe), akikagua bidhaa mbali mbali za magari kutoka katika baadhi ya
makampuni yaliyoshiriki katika uzinduzi huo.
|
![]() |
Baadhi ya magari yaliyoletwa katika gulio hilo kwaajili kuuzwa. |
DAR ES SALAAM
Kwa mara ya kwanza Tanzania Vision Investments inawaletea Automart mbadala sahihi wa kutimiza mahitaji yako yote ya magari. Gulio la Kila Jumapili ya mwisho wa mwezi wauzaji na wanunuzi wa magari watakutana katika mazingira rafiki.
Kwa mara ya kwanza Tanzania Vision Investments inawaletea Automart mbadala sahihi wa kutimiza mahitaji yako yote ya magari. Gulio la Kila Jumapili ya mwisho wa mwezi wauzaji na wanunuzi wa magari watakutana katika mazingira rafiki.
Makutano haya baina ya wateja kwa wateja na wanunuzi na wateja;yatafanyika katika viwanja vya Sea Cliff Hotel, Dar es Salaam. Automart itafunguliwa tarehe 26 July 2015 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 11 Jioni.
Makutano haya yameandaliwa kuwapa fursa wanunuzi na wauzaji wa magari binafsi na makampuni tofauti fursa ya kuwa na sehemu moja kwa mahitaji yote. Pamoja na hayo tunaalika huduma shirikishi zikijumlisha kampuni za bima, taasisi za fedha wanao toa mikopo ya magari, Vilainishi vya magari na Kliniki za magari kutoa huduma.
Kwa mtu yeyote anae hitaji kuuza gari lake atachangia Shilingi elfu 50 tu. Ikiwa ni mchango wakuweka gari lake katika viwanja vya Automart na kufaidika na kuwekwa katika mtandao wa cheki.co.tz (tovuti namba 1 ya magari Tanzania pamoja na mitandao ya jamii (facebook) kwa siku 60 baada ya Gulio.
Automart imedhaminiwa na SMS WORX, CHEKI.CO.TZ, AUTOSPORT REPAIRS.
No comments:
Post a Comment