|  | 
| DC Mtaka akiongozana na Balozi Kaarstad kuelekea ofisini kwake. | 
|  | 
| Mkurugenzi wa Chuo cha Ufundi cha Arusha ,Dkt Richard Masika akiteta jambo na Balozi wa Norway Kaarstad ofisini kwa mkuu wa wilaya ya Hai. | 
|  | 
| Mkuu wa wilaya ya Hai ,Anthony Mtaka akizungumza na ugeni wa balozi wa Norway ofisini kwake . | 
|  | 
| Baloozi Kaarstad akimueleza jambo DC Mtaka. | 
|  | 
| Ugeni wa Balozi wa Norway ukiwa umetembelea kivutio cha Utalii cha Chemka ambako kuna Chemichemi ya maji yenye uvuguvugu ambako watalii wamekuwa wakitembelea na kuogelea. | 
|  | 
| Kivutio cha Utalii cha Chemka ambacho maji yake yanatokana na Chemichemi . | 
|  | 
| Mooja ya mioundo mbinu katika kituo cha kufulia umeme cha Kikuletwa. | 
|  | 
| Balozi Kaarstad akiongozwa kutembelea maeneo mbalimbali katika kituo cha Kufulia umeme cha Kikuletwa. | 
|  | 
| Sehemu ya Mitambo ya kufua umeme katika kituo cha Kikuletwa inavyoonekana kwa sasa baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kufanya kazi. | 
|  | 
| Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akizungumza jambo na Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Profesa Idd Mkilaha walipkutana wakati wa kutembelea Kituo cha kufua umeme cha Kikuletwa. | 
|  | 
| Ugeni wa Balozi wa Norway Kaarstad ukitembelea maeneo mbalimbali ya mradi huo . | 
|  | 
| Mkurugenzi wa Chuo cha Ufundi cha Arusha,Dkt Masika akimuonesha Balozi Kaarstad mfereji mkuu wa kupeleka maji katika kituo cha kufua umeme cha Kikuletwa. | 
|  | 
| Kazi ya uondoaji tope ikiendelea katika mfereji huo. | 
|  | 
| Sehemu ya maporomoko ya maji yanayotiririka katika mto Kikuletwa. | 
|  | 
| Balozi wa Norway ,Henne-Marie Kaarstad akizungumza na wanahabari katika eneo ambalo maji yanapita kwa kasi katika mto Kikuletwa. | 
|  | 
| Ugeni wa Balozi wa Norway ukitizama moja ya mito inayotirisha maji kuelekea katika kituo cha kufua umeme cha Kikuletwa. | 
|  | 
| Mto unaotenganisha wilaya ya HAi na Simanjro mkoani Manyara unaopeleka maji katika kituo cha kufua umeme cha Kikuletwa. | 
|  | 
| DC Mtaka akimuongoza balozi Kaarstad kupita katika moja ya daraja lilopo eneo la mradi . Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. | 
 

















No comments:
Post a Comment